Magazeti leo Machi 22,2026

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dk. Ayub Rioba, ameaga rasmi baada ya kuhudumu kwa miaka 10 mfululizo tangu kuteuliwa mwaka 2016 na Rais Dk. John Magufuli.
Rioba amesema, kipindi chake kilikuwa na changamoto kubwa, akibainisha kuwa alipitia “vita ngumu” lakini aliendelea kuhudumu hadi kuongezewa muda wa uongozi mwaka 2024 na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.

Ametoa shukrani kwa viongozi mbalimbali wa serikali, wafanyakazi wa TBC na Watanzania kwa ushirikiano waliompa katika kipindi chote cha uongozi wake.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here