Mchango wa WMA kuwezesha maadhimisho Siku ya Wanawake watambuliwa

DODOMA-Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dodoma imetoa cheti cha shukrani kwa Wakala wa Vipimo (WMA) ikitambua mchango wake katika kuwezesha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Kimataifa ngazi ya Mkoa.
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo yaliyofanyika Kongwa leo Machi 8, 2026, Mkuu wa Mkoa, Mhe. Rosemary Senyamule amekabidhi cheti hicho chenye sahihi yake.
Mbali na kuchangia fedha kuwezesha maadhimisho hayo, pia WMA iliweka kambi kwenye viwanja vya maadhimisho na kutoa elimu ya vipimo kwa wananchi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here