ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Eid al-Fitr iliyosaliwa leo Machi 21,2026 katika Msikiti wa Jamiu Zanjibar, Kiembe Samaki, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Waumini wa dini ya Kiislamu wanasherehekea Sikukuu ya Eid al-Fitr baada ya kukamilika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Ibada hiyo imehudhuriwa na viongozi wa Serikali, viongozi wa dini pamoja na waumini mbalimbali wa dini ya Kiislamu.






.jpg)
.jpg)
.jpg)






