Dkt.Ally Possi, Wakili Mkuu wa Serikali (wa kwanza kulia) akimsikiliza Rais wa Ghana, Mhe. John Dramani Mahama wakati akifungua Mwaka wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu jijini Arusha.
Mhe. John Dramani Mahama, Rais wa Jamhuri ya Ghana akizungumza na viongozi na wadau wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu wakati akifungua Mwaka wa Mahakama hiyo jijini Arusha.
Mhe. Jaji Blaise Tchikaya, Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, akizungumza na viongozi na wadau wa Mahakama hiyo wakati wa ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama hiyo jijini Arusha.
Mhe. Jaji Blaise Tchikaya, Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, akizungumza na viongozi na wadau wa Mahakama hiyo wakati wa ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama hiyo jijini Arusha.
Dkt.Ally Possi, Wakili Mkuu wa Serikali (wa kwanza kulia) akimsikiliza Rais wa Ghana, Mhe. John Dramani Mahama wakati akifungua Mwaka wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu jijini Arusha.
Wadau wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, wakimsikiliza Mhe. John Dramani Mahama, Rais wa Jamhuri ya Ghana (hayupo pichani) wakati akifungua Mwaka wa Mahakama hiyo jijini Arusha.

Mhe. John Dramani Mahama, Rais wa Jamhuri ya Ghana (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi na wadau wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu baada ya kufungua mwaka wa Mahakama hiyo jijini Arusha.Mhe. John Dramani Mahama, Rais wa Jamhuri ya Ghana (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi na wadau wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu baada ya kufungua mwaka wa Mahakama hiyo jijini Arusha.