Enzi mpya ya Sekta ya Madini nchini Tanzania

SONGWE-Hatua hizi za kihistoria za Serikali ya Tanzania kusaini mikataba ya kushiriki moja kwa moja katika miradi ya madini muhimu na mkakati kupitia umiliki wa hisa zisizohafifishwa (free carried interest) thamani zinaashiria enzi mpya ya ukuaji wa kipekee wa Sekta ya Madini,huku Tanzania ikiendelea kuhakikisha kuwa wananchi wananufaika kikamilifu na rasilimali zao na uwekezaji katika Sekta ya Madini unakua shirikishi na wenye uhakika.

Juhudi hizi zinazidi kuitangaza Tanzania Kimataifa kama kitovu cha rasilimali adimu na fursa zenye ushindani duniani na mwekezaji rafiki.

#MadininiMaisha
#MadininiUtajiri
#InvestInTZ
#Mining4Development

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here