Hatua zimeanza kuchukuliwa kutoka kwenye ripoti ya Tume ya Uchunguzi-Hamad Rashid

DAR-Mwenyekiti wa Chama cha ADC,Hamad Rashid amesema kuwa,Tume ya Uchunguzi imefanya kazi nzuri ya kuleta ripoti ambayo imeonesha wapi kama taifa lilikosea na namna gani ya kusonga mbele kwa sasa.
Hamad Rashid amesema hayo wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam ambapo amesema,ripoti hiyo ni hatua muhimu katika kuelekea maridhiano na kila mwenye nia njema na Taifa basi ataondoa tofauti aliyonayo na kujikita katika kutafuta suluhu na kujenga umoja wa kitaifa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here