DAR-Kumekuwepo kwa usambazaji wa taarifa potofu kupitia mitandao ya kijamii nchini, zinazokinzana na takwimu rasmi zilizotolewa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2026.


Taarifa hizo zisizo sahihi zinadai kuwa idadi ya vifo vilivyotokana na ghasia hizo imefikia watu 10,518, jambo ambalo linapingana na takwimu rasmi zinazoonesha kuwa jumla ya vifo vilivyothibitishwa ni 518.
#NeverAgain
#Yasirudiwe