Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, 𝐁𝐰. 𝐋𝐚𝐳𝐚𝐫𝐨 𝐓𝐰𝐚𝐧𝐠𝐞, akiwasili ndani ya viwanja vya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, ambapo bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2026/2027 inatarajiwa kuwasilishwa leo.
#WikiYaNishati2026 #TupoKazini
Tags
Bunge la Bajeti
Bunge la Tanzania
Habari
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
TANESCO
Wizara ya Nishati Tanzania


