Mwanasheria Mkuu wa Serikali bungeni leo Aprili 13,2026


Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu),Mhe.Prof. Palamagamba J.A. Kabudi wakati wa kikao cha 7 cha Mkutano wa 3 wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Aprili 13, 2026 jijini Dodoma.
Mkutano huo wa Tatu wa Bunge unaoendelea jijini Dodoma ni Mahsusi kwa ajili ya kujadili Utekelezaji wa Bajeti za Wizara zote kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 pamoja na Makadirio ya Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here