Wananchi wana matumaini makubwa na Tume ya Uchunguzi-Askofu Dkt.Maimbo Mndolwa

DAR-Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dkt.Maimbo Mndolwa amesema,Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 ni Huru na wananchi wanamatumaini makubwa na tume hiyo.
Dkt.Mndolwa amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na wanahabari na kueleza kuwa,ni busara kama taifa kushugulikia changamoto zake yenyewe kabla ya kuomba msaada kutoka nje ya nchi.

Katika hatua nyingine,Askofu Dkt.Mndolwa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuunda tume hiyo ili itafute kwanza suluhu ya ndani na jambo hilo kuonesha dunia ukomavu wa demokrasia na siasa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here