Naibu Waziri Mwijuma aongoza ujumbe wa Tanzania nchini Uganda maandalizi ya AFCON 2027

KAMPALA-Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ameongoza Ujumbe maalumu wa Kamati ya maandalizi ya AFCON 2027 kutoka Tanzania ambao umewasili nchini Uganda.
Ujumbe huo unatarajiwa kushiriki katika mkutano unaowakutanisha wajumbe wa kamati tatu za maandalizi za nchi wenyeji yani Tanzania, Kenya na Uganda ikiwa ni miongoni mwa juhudi za pamoja za kuhakikisha maandalizi ya AFCON 2027, yatakayofanyika kuanzia Juni 19 hadi Julai 18, 2027, yanaenda kwa kasi na kwa ubora unaokidhi viwango vya Shirikisho la Soka Afrika (CAF).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here