DAR-Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, na Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera amesema,kilichotokea Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu kwa sasa kila mtu yuko katika harakati za kutafuta suluhu na kutatua tatizo.
Chakwera amesema hayo jijini Dar es Salaam leo wakati alipotembelea Tume ya Uchunguzi wa matukio ya wakati na Baada ya Uchaguzi mkuu wa Oktoba 29,2025.
