Watanzania wote wana matumaini na Tume ya Uchunguzi-Doyo

DAR-Aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha NLD,Doyo Hassan Doyo amesema, ana matumaini makubwa na Tume ya Jaji Chande inayochunguza Matukio ya Vurugu wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29,2025.
Imani na matumaini ya Doyo kwa tume hiyo yanatokana na ukweli kwamba, tume imesheheni watu muhimu wenye ubobevu na weledi mkubwa kama vile Majaji Wastaafu, Mawaziri Wastaafu na Viongozi wakubwa wa Ulinzi na Usalama Wastaafu, na hivyo Watanzania watarajie ripoti itakayokidhi matarajio yao.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here