PORT LOUIS-Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokea taarifa kuhusu Ushirikiano na uhusiano Kati ya Tanzania na Mauritius kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Mauritius mwenye makazi yake Harare Zimbabwe Mheshimiwa Suzan Kaganda alipowasili jijini Port Louis, Mauritius Aprili 10,2026 kuhudhuria Mkutano wa Tisa wa Bahari ya Hindi unaofanyika April 10 hadi 12,2026.



