Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari katika Kikao cha Nne cha Mkutano wa 3 wa Bunge la 13 leo Aprili 8,2026 bungeni jijini Dodoma.Waheshimiwa Wabunge wameemdelea kujadili Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa mwaka wa fedha 2026/27.
Tags
Bunge la Tanzania
Dr Mwigulu Lameck Nchemba
Habari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
