Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. William Anangisye, amebariki kurejea masomoni kwa kijana Haji Athumani, aliyekuwa amelazimika kukatisha masomo yake kutokana na changamoto za kiuchumi. 

Uamuzi huo umefikiwa Mei 02, 2026, baada ya Prof. Anangisye kukutana na kufanya mazungumzo na kijana huyo ofisini kwake.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo










