Makatibu Wakuu wakutana kujadili masuala ya ushirikiano SJMT na SMZ

DAR-Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu,Dkt. Jim Yonazi pamoja na Mwenyekiti mwenza,Dkt.Islam Seif Salum Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar wameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kwa ajili ya maandalizi ya Kikao cha Ushirikiano cha Ngazi ya Mawaziri.
Lengo kuu la vikao vya ushirikiano kwa pande hizi mbili za Muungano ni kubadilishana uzoefu katika Sekta mbalimbali ili kuimarisha utekelezaji wa majukumu ya kila siku Serikalini.
Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Mtaa wa Magogoni jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei,2026.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here