DODOMA-Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari akifuatilia Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi, iliyowasilishwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mapema leo tarehe 13 Mei, 2026.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amehudhuria Bunge la 13, Mkutano wa 3, Kikao cha 28, Bungeni jijini,Dodoma.
Tags
Bunge la Bajeti
Habari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
