Live:Hotuba ya Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) akiwasilisha bungeni Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2025/26 na Mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka 2026/27

Wizara ya Fedha na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Tangazo la Serikali Na. 686 la Desemba 19, 2025 pamoja na Muundo na Mgawanyo wa Majukumu ya Wizara ulioidhinishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Machi 12, 2026.

Majukumu ya msingi ya Wizara ni pamoja na:
kubuni na kusimamia utekelezaji wa sera za uchumi jumla, fedha, ununuzi wa umma na ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi;kuandaa na kusimamia utekelezaji wa miongozo ya usimamizi wa bajeti ya Serikali; kusimamia uchumi; kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Serikali; kusimamia na kuratibu upatikanaji wa fedha za nje na kuimarisha mahusiano na taasisi za fedha za kikanda na kimataifa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here