Muonekano wa Bwawa la Umwagiliaji la Itumbi wilayani Mbozi

SONGWE-Muonekano wa juu wa Bwawa la Umwagiliaji la Itumpi lililojengwa kwa ufadhili wa Shirika la KOICA chini ya usimamizi wa Shirika la GOOD NEIGHBORS. Bwawa hilo limezinduliwa rasmi Mei 28,2026 na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mheshimiwa Jabiri Makame.
Mradi huo wa kimkakati umegharimu jumla ya shilingi milioni 510, ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi imechangia asilimia 20 ya gharama zote za ujenzi. Bwawa hilo linatarajiwa kuongeza tija katika shughuli za kilimo cha kahawa cha umwagiliaji, kuimarisha usalama wa chakula, pamoja na kuinua uchumi wa wananchi wa eneo la Itumpi na maeneo jirani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here