Naibu Waziri Millya asaini kitabu cha maombolezo kifo cha Waziri wa Mambo ya Nje mstaafu wa Angola

DAR-Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. James Millya akisaini kitabu cha maombolezo ya Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu wa Angola Hayati Manuel Domingos Augusto katika Ubalozi wa Angola jijini Dar es Salaam.
Mhe. Millya amewasilisha salamu za pole kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Angola, Mhe. João Lourenço, Balozi wa Angola nchini, Mhe. Balozi Domingos de Almeida da Silva Coelho, wananchi wa Angola pamoja na familia ya Hayati Augusto.Hayati Augusto alifariki Juni 5, 2026 jijini Luanda akiwa na umri wa miaka 68.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here