DODOMA-Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu L. Nchemba (Mb) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Mhe. Hamza S. Johari wakijadiliana jambo wakati wa Kikao cha Bunge.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amehudhuria Bunge la 13, Mkutano wa 3, Kikao cha 43 kilichofanyika tarehe 4 Juni, 2026 bungeni jijini Dodoma.
