Dkt.Possi ateta na viongozi wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL)

DAR-Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi amefanya mazungumzo na viongozi wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Viongozi hao waliongozwa na Mwenyekiti wao, ndugu Emmanuel Ukashu.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na viongozi wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) (hawapo pichani) walipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na viongozi wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) (hawapo pichani) walipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi mkoba wenye nyaraka mbalimbali za Ofisi yake Mwenyeketi wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) ndugu Emmanuel Ukashu kuhusu Ofisi hiyo alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Viongozi wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) na baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi wakati wa kikao cha viongozi hao kilichofanyika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakili Vijana (AYL) ndugu Emmanuel Ukashu akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) alipomtembelea Ofisi kwake jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here