RUVUMA-Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imewafikia wanafunzi 10,137 kutoka shule 13 za sekondari wilayani Tunduma kupitia kampeni ya “Chagua Ndoto, Kataa Dawa za Kulevya.”
Shule zilizoshiriki katika kampeni hiyo ni Uwanjani Secondary School, Majengo Mjini Secondary School, Twiza Secondary School, Tunduma Secondary School, Mpakani Secondary School, Danida Secondary School, Mwl. Nyerere Secondary School, Mpande Secondary School, Jakaya Kikwete Secondary School, Katete Secondary School, Sumange Secondary School, Mpemba Secondary School na Tunduma Town Council Secondary School.
Tags
DCEA
DCEA Tanzania
Habari
Kataa Dawa za Kulevya na Timiza Ndoto Zako
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)










