NEW YORK-Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mhandisi Anthony Sanga akiwa katika Ofisi ya Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York nchini Marekani,Mhe. Balozi Togolani Mavura tarehe 16 Julai 2026.
Mhandisi Sanga yuko jijini New York Marekani kuhudhuria mkutano wa ngazi ya juu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Makazi (UN Habitat) kuhusu Maendeleo ya miji.


