Watoto waelimishwa kuhusu namna ya kuripoti ukatili

DAR-Jeshi la Polisi kupitia Polisi Kata wa Tungi, Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam, limeendelea kuimarisha juhudi za kulinda haki na usalama wa watoto kwa kutoa elimu kuhusu namna sahihi na rahisi ya kuripoti vitendo vya ukatili vinavyoweza kufanywa dhidi yao.
Elimu hiyo imetolewa Julai 8,2026 na Polisi Kata wa Tungi, Mkaguzi wa Polisi (INSP) Diogeness Mganyizi alipokutana na kundi la watoto katika programu ya uelimishaji iliyolenga kuwajengea uelewa kuhusu haki zao pamoja na umuhimu wa kutoa taarifa mapema wanapokumbana na vitendo vya ukatili.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here