Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Agosti 27,2026

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.70 na kuuzwa kwa shilingi 0.71 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Agosti 27,2026 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2631.74 na kuuzwa kwa shilingi 2658.06 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8575.24 na kuuzwa kwa shilingi 8660.99.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3581.27 na kuuzwa kwa shilingi 3617.09 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.78 na kuuzwa kwa shilingi 1.79.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1896.34 na kuuzwa kwa shilingi 1915.30 huku Fraka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3267.62 na kuuzwa kwa shilingi 3300.29.

S/NO
Currency
Buying
Selling
Mean
Transaction Date
1AED716.5494723.7149720.132127-Aug-26
2ATS168.6885170.3754169.531927-Aug-26
3AUD1888.27531907.15811897.716727-Aug-26
4BIF0.87830.88710.882727-Aug-26
5BWP208.1708210.2525209.211727-Aug-26
6CAD1896.34141915.30481905.823127-Aug-26
7CHF3267.62183300.2983283.959927-Aug-26
8CNY391.5118395.427393.469427-Aug-26
9CUC109.6559110.7525110.204227-Aug-26
10DKK410.2163414.3184412.267427-Aug-26
11DZD19.67719.873819.775427-Aug-26
12EUR3067.03283097.70313082.36827-Aug-26
13GBP3581.27533617.0883599.181727-Aug-26
14HKD335.7029339.0599337.381427-Aug-26
15IDR0.14860.15010.149427-Aug-26
16INR27.579927.855727.717827-Aug-26
17IQD2.00822.02822.018227-Aug-26
18IRR0.00190.00190.001927-Aug-26
19JPY16.518616.683816.601227-Aug-26
20KES20.322320.525620.423927-Aug-26
21KRW1.89981.91881.909327-Aug-26
22KWD8575.24468660.99718618.120827-Aug-26
23MWK1.5031.5181.510527-Aug-26
24MYR652.8759659.4046656.140227-Aug-26
25MZM40.789641.197540.993527-Aug-26
26NAD164.9975166.6474165.822527-Aug-26
27NGN1.95441.97391.964227-Aug-26
28NLG1053.3291063.86231058.595727-Aug-26
29NOK281.6716284.4883283.0827-Aug-26
30NZD1564.5711580.21671572.393827-Aug-26
31PKR9.45999.55459.507227-Aug-26
32QAR721.9154729.1345725.52527-Aug-26
33RWF1.78181.79961.790727-Aug-26
34SAR700.9195707.9287704.424127-Aug-26
35SDR3611.73683647.85423629.795527-Aug-26
36SEK276.5074279.2725277.8927-Aug-26
37SGD2070.11922090.82042080.469827-Aug-26
38TRY54.682255.22954.955627-Aug-26
39UGX0.70270.70980.706227-Aug-26
40USD2631.74262658.062644.901327-Aug-26
41GOLD12132070.0912253390.7912192730.4427-Aug-26
42ZAR164.9695166.6192165.794427-Aug-26
43ZMW138.3126139.6957139.004127-Aug-26
44ZWD6.90756.97656.94227-Aug-26

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here