DAR-Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Jaji mstaafu Shabani Ally Lila akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 24,2026 jijini Dar es Salaam.
Jaji mstaafu Shabani Ally Lila.
