Magazeti leo Agosti 27,2026

Meta imekubali kulipa fidia ya kihistoria ya hadi dola bilioni 17.1 ili kumaliza kesi iliyofunguliwa na majimbo 47 ya Marekani inayohusu madai ya kusababisha uraibu na madhara ya kisaikolojia kwa watoto, ingawa kampuni hiyo haijakiri kosa.








Makubaliano hayo yatailazimisha Meta kubadilisha mifumo ya Instagram na Facebook kwa watumiaji walio chini ya miaka 18, ikiwa ni pamoja na kuzuia endless scrolling, kuweka ukomo wa matumizi wa saa mbili, na kuimarisha udhibiti wa wazazi.

Fedha hizo zitalipwa ndani ya miaka 10, huku zikilenga kufadhili programu za usalama mtandaoni na huduma za afya ya akili kwa vijana.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here