DODOMA-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.Deogratius Ndejembi pamoja na familia yake wameungana na waumini mbalimbali katika kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma leo Agosti 30,2026.
Tags
Deogratius Ndejembi
Habari
Ibadani Leo
Makamu wa Rais wa Tanzania
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Tanzania Vice President







