WANANCHI wametakiwa kuipuuza taarifa inayosambaa mitandaoni ikidai kuwa, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kesi Marekani na kutakiwa kulipa Shilingi bilioni 320.
UKWELI:Hakuna hukumu yoyote mpya iliyotolewa na ICSID_World Bank Tribunal wiki iliyopita. Madai hayo ni ya uongo na yana lengo la kupotosha umma.
Kwa taarifa sahihi fuatilia kurasa rasmi za TANESCO na Wizara ya Nishati.
