Tume ya Jaji Lila yaanza kusikiliza wananchi wa Ilala kuanzia leo hadi Septemba 4,2026

DAR-Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 chini ya Mwenyekiti wake Jaji Shabani Ally Lila imeanza kusikiliza ushahidi kwa wananchi wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam kuanzia leo Jumatatu Agosti 31 hadi Septemba 4, 2026 katika viwanja vya Karimjee Posta,wananchi wote wanakaribishwa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here