Rais Dkt.Mwinyi aongoza kikao cha Baraza la Taifa la Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameongoza kikao cha Baraza la Taifa la Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar kilichofanyika leo Septemba 12,2026, Ikulu Zanzibar.
Kikao hicho kimewakutanisha viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, akiwemo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Mawaziri kutoka Wizara mbalimbali, pamoja na viongozi na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Kikao hicho kimelenga kujadili na kuimarisha mikakati ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here