Rais Dkt.Mwinyi awatakia wananchi wote Jummah Mubarak leo Septemba 4,2026
ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Septemba 4,2026 amewatakia wananchi wote Jummah Mubarak huku akisisitiza kuwa,busara ni kusema kwa hekima na kutenda kwa heshima.