ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Septemba 11,2026 amewatakia wananchi wote Jummah Mubarak huku akisisitiza kuwa,subira si udhaifu, ni nguvu ya moyo unaoamini kuwa faraja ipo mbele.
