ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi na Mke wake Mama Mariam Mwinyi leo Septemba 7,2026 wamefika nyumbani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan eneo la Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja kumfariji kufuatia kufiwa na mume wake,Mheshimiwa Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia leo katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar.
Tags
Dkt.Hussein Ali Mwinyi
Dr Samia Suluhu Hassan
Habari
Hafidh Ameir Hassan
Kizimkazi Kusini Unguja
Mama Mariam Mwinyi




