ZANZIBAR-Mheshimiwa Felix Antoine Tshisekedi Tshilombo, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar leo Septemba 8,2026 kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar tarehe 7 Septemba, 2026.
Tags
Dr Samia Suluhu Hassan
Félix Antoine Tshisekedi
Habari
Hafidh Ameir Hassan
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
