Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wapewa mafunzo kuhusu uelewa wa usalama wa kimtandao

Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Afisa TEHAMA wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Bi. Digna Lyimo (hayupo pichani) wakati akitoa mafunzo kuhusu uelewa wa usalama wa kimtandao kwa watumishi wa Ofisi hiyo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Saddy Sevingi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua mafunzo kuhusu uelewa wa usalama wa kimtandao yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Azizi Makaburi akitoa neno la utangulizi wakati wa mafunzo kuhusu uelewa wa usalama wa kimtandao kwa watumishi wa Ofisi hiyo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Usuluhishi wa Kimataifa wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Lydia Thomas akichangia mada wakati wa mafunzo kuhusu uelewa wa usalama wa kimtandao kwa watumishi wa Ofisi hiyo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Afisa TEHAMA wa Mamlaka ya Serikali Mtandao, Bi. Digna Lyimo akitoa mafunzo kuhusu uelewa wa usalama wa kimtandao kwa watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Mtunza Kumbukumbu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Athumani Zunda akiuliza swali kuhusu matumizi ya ngao kwenye mifumo mingine ya Serikali wakati wa mafunzo ya uelewa wa usalama wa kimtandao yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Afisa TEHAMA wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Bi. Digna Lyimo (hayupo pichani) wakati akitoa mafunzo kuhusu uelewa wa usalama wa kimtandao kwa watumishi wa Ofisi hiyo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Afisa TEHAMA wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Bi. Digna Lyimo (hayupo pichani) wakati akitoa mafunzo kuhusu uelewa wa usalama wa kimtandao kwa watumishi wa Ofisi hiyo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mtunza Kumbukumbu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Athumani Zunda akiuliza swali kuhusu matumizi ya ngao kwenye mifumo mingine ya Serikali wakati wa mafunzo ya uelewa wa usalama wa kimtandao yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here