DAR-Wakala wa Vipimo (WMA) leo Septemba 26,2026 imewaongoza wadau mbalimbali kushiriki katika zoezi la usafi wa pamoja lililoandaliwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Akizungumza baada ya zoezi hilo, mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo ameipongeza WMA kupitia kwa Meneja wake Wilaya ya Ilala, Muhono Nashon kwa mchango wa vifaa mbalimbali vya usafi vilivyowezesha tukio hilo.