DOHA- Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Oktoba 9, 2026 amewatakia wananchi wote Jummah Mubarak huku akisisitiza kuwa, tuvijenge vizazi vyetu kwa maadili mema, elimu na hofu ya Mwenyezi Mungu.
