Rais Dkt.Mwinyi awatakia wananchi wote Jummah Mubarak leo Oktoba 2,2026
ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Oktoba 2,2026 amewatakia wananchi wote Jummah Mubarak huku akisisitiza kuwa, utumishi wa kweli hupimwa kwa namna unavyogusa maisha ya watu.