Rais Samia kushiriki uchaguzi mdogo wa ubunge Chamwino

DODOMA- Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Novemba 4, 2026 atashiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chamwino, mkoani Dodoma.
Rais Dkt. Samia ataungana na wapigakura wengine kumchagua Mwakilishi wa Jimbo hilo, katika Kituo Namba Tano kilichopo Ofisi ya Kijiji cha Chamwino, Wilaya ya Chamwino.

Uchaguzi huo unafanyika kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Mheshimiwa Deogratius John Ndejembi, aliyeteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mwezi Agosti, 2026.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Novemba 4, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari S. Machumu

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here