BASATA Waongoza sherehe,burudani na matukio (MC),manju wa muziki (DJ) nchini watakiwa kujisajili na kuwa na kibali cha Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ifikapo Januari 31,2026