MGOMBEA ubunge katika Jimbo la Kawe lililopo Dar es Salaam, Halima Mdee (CHADEMA) amesema ushindi wake katika jimbo hilo utakuwa ni wa mapema asubuhi.
Mdee amesema hayo muda mfupi baada ya kurejesha fomu ambayo imekidhi vigezo na kuidhinishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambapo amesisitiza kuwa, mgombea wa CCM ambaye ni mpinzani wake, Askofu Josephat Gwajima hampi hofu yoyote.
"Kila mtu atashinda kwa mziki wake, tukutane field,"amesema.
Kwa habari au matangazo (diramakini@gmail.com)
www.diramakini.co.tz

MDEE ANAFAA ZAIDI.
ReplyDeletemimi ni ccm lkn kura yang unayo