"Mhula wa Bunge la Afrika unaenda samba na mhula wa Bunge la Tanzania.Baada ya kipindi cha ubunge kuisha ambacho kinaenda na uhai wa bunge la Afrika.Nafasi yangu ya Ubunge wa Afrika pia imefikia Tamati. Kukosa nafasi ya kugombea Ubunge kunahitimisha rasmi nafasi yangu katika Bunge la Afrika,"haya ni maneno ya Makamu wa Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika,Stephen Julius Masele am ambaye ameaga rasmi Bunge la Afrika (Pan- African Parliament - PAP) baada ya muda wake kutumikia Bunge la Afrika kufikia kikomo.
Stephen Julius Masele
