Mgombea ubunge kupitia CHADEMA atikisa jimboni Karatu
Matukio mbalimbali yakimwonyesha mgombea ubunge Jimbo la Karatu, Arusha, Cesilia Pareso (CHADEMA) wakati wa urejeshaji fomu kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo.
Kwa habari au matangazo (diramakini@gmail.com) www.diramakini.co.tz