Serengeti Breweries Limited (SBL) yadhamini mbio za Serengeti Migration Marathon kuhamasisha utunzaji wa mazingira

Mkuu wa Wilaya ya Rorya Simon Odunga (wa tano kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mbio za Serengeti Migration Marathon zilizodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) pamoja na makampuni mengine kwa ajili ya uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira. Mbio hizo zilifanyika jana wilayani Serengeti mkoani Mara.Baadhi ya washiriki wa mbio za Serengeti Migration Marathon wakionyesha medali zao baada ya kuweza kumaliza mbio hizo zilizodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) pamoja na makampuni mengine kwa ajili ya uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira. Mbio hizo zilifanyika jana wilayani Serengeti mkoani Mara.Baadhi ya washiriki wa mbio za Serengeti Migration Marathon wakishangilia baada ya kufanikiwa kumaliza mbio hizo zilizodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) pamoja na makampuni mengine kwa ajili ya uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira. mbio hizo zilifanyika jana wilayani Serengeti mkoani Mara.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news