








Leo Oktoba 28, 2020 ndiyo siku ya Uchaguzi Mkuu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ni siku ambayo kila mmoja wetu anapaswa baada ya kupiga kura kuelekea nyumbani na kuendelea kudumisha amani, upendo na mshikamano, usikubali aina yoyote ya mtu au kikundi kikushawishi kutenda mambo ya ovyo ovyo kwa maslahi ya mtu mmoja au kikundi cha watu. Tambua kuna maisha baada ya leo na maisha yetu yanahitaji amani na utulivu ili kusonga mbele.







