Mvua yakwamisha mechi kati ya Simba SC na Ndanda FC
Kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, "tumeamua kuhairisha mchezo wa kirafiki dhidi ya Ndanda SC. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote ambao umejitokeza kwa mashabiki na wadau,"Simba SC.