Kamati ya Sera ya Fedha BoT yatoa taarifa kuhusu mwenendo wa uchumi

Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) ya Benki Kuu ya Tanzania ilikutana tarehe 19 Novemba 2020, kutathmini mwenendo wa uchumi na mwelekeo wake katika ngazi za kitaifa na Kimataifa.

Post a Comment

0 Comments